jump to navigation

KNOW ABOUT EARTHQUAKES January 29, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
add a comment

 

Earthquakes are natural ground motions caused as the Earth releases energy. The science of earthquakes is seismology, “study of shaking” in scientific Greek. (more…)

Geologic Time Scale January 25, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
add a comment

This geologic time scale shows all the defined units of period rank, along with the eras and eons that comprise them. The periods of the Phanerozoic Eon are further subdivided into epochs; see those in the Phanerozoic Eon geologic time scale. Epochs are further subdivided into ages; see those in the Paleozoic Era, Mesozoic Era and Cenozoic Era geologic time scales. (more…)

wadau kazi za kikubwa hizi hapa. January 25, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
add a comment

wakuu kazi za kikubwa hizi hapa. Ile nafasi aliyokuwa anaishikilia Prof. Muhongo imetangazwa upya na kwa maelezo zaidi click Job (international)  upate pdf yake. Nawataki mafanikio mema.

Geo wa leo! January 25, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
add a comment

wakuu leo teru (feruz Babu) katutembelea, jamaa kwa sasa yuko Arusha (Geneva of Africa).

Geo wa leo January 22, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
2 comments

Helo Geos, leo tuko na geo mjasiriamali sasa hivi ni international figure (Onesmo Sigalla mwenye miwani). Kwenye picha anaonekana akifanya Magnetic profiling kabla ya Vertical Electrical sounding (kwa wale wataalamu wanajua) ni katika kijiji cha Shambarai Burka kata ya Mbuguni ,Arusha.Anafanya kazi na IUCN (International Union for Conservation of Nature), web yao hii  hapa http://www.iucn.org/.

wakuu chaka jipya kwa anayetaka, January 22, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
add a comment

bonyeza hapa. geoJobs

kwa ma-hydrogeologist January 22, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
add a comment

kwa information nyingi kuhusu hydrogeology visity this link http://geology.about.com/gi/o.htm?zi=1/XJ/Ya&zTi=1&sdn=geology&cdn=education&tm=16&gps=299_199_1276_599&f=11&tt=14&bt=0&bts=1&zu=http%3A//community.livejournal.com/geology/. kuna mambo mengi ya kujifunza na uwe compitent zaidi kwenye field yako. I wish you luck.

The World’s Crustal Plates January 22, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
add a comment

The Earth’s outer layers are organized into about a dozen great pieces, called lithospheric or crustal plates—although “shells” is a better name when you realize that they’re all curved, not flat. The interactions of these plates, and how they recycle most of the lithosphere over the course of geologic time, are what plate tectonics is all about. In addition to these major plates, there are another dozen minor ones or micro-plates. Beneath the plates is the upper mantle. The top part is softer than the the crust above or the mantle below, and that layer is what allows the plates to move without stirring up the deep mantle.

Hello wakuu mpoo! January 15, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
1 comment so far

Hello mageo wenzangu, nimechukua jumkumu la kuanzisha blog hii ili itukutanishe kama zamani na kama familia ilivyokuwa. Nashukuru nimeweza na nimejitolea kuimananage vyema, please hapa tunaweza kukusanyika na kujuana tulipo. Nazani mnajua sifa moja tuliyonayo sisi mageo wa Tz ni ushirikiano na hii imedhihirika mikoani kote regardless hata kama hatukusoma darasa moja huwa kuna ushirikiano mkubwa. Angalia About hapo juu nimeelekeza jinsi ya kutumia. Thanks.

E. Mshiu