jump to navigation

around oldoinyo le ngai life goes on! December 9, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
trackbackEneo hili kulipo na huu mlima ndiko East Africa Rift Valley imepita na wakati tunazungumzia story hii basi pia tujue chanzo cha haya yote i.e volcanism etc ni ni hili bonde la ufa. Hivyo mbali na mlima Oldoinyo wenyewe pia around it kuna several small cones and creters (tazama pics), mfano mzuri wa jinsi eneo hili linavyoonekana ni kama ulishawahi kuona zile picha zilizopigwa toka mwezini au kwenye sayari ya Mars (tafuta hiyo). Kwa mtanzania yeyote ukifika hapa lazima utaona eneo hili ni geni kwako. Utaona round structures nyingi ambazo kwenye broad spectrum zimo ndani ya bonde moja kubwa pia bila kusahau kuna lake Natron. Kwa ujumla mtu ambaye hobby yake ni advanture then hapa atakuwa amefika kwenyewe na siwezi kukataa pia to be a geologist it lead to the development of intrest of being a tourist! Niko mbioni kukusanya dollas ili ninunue camera yangu kubwaaaa only for these amazing and interesting geological structures/features. Kama nilivyo kwambia hapa pia kuna lake natron, mbali na jina lake lenyewe lilivyobatizwa ziwa hili linapendeza sana machoni, kwa pande zote za bonde la ufa unaliona vizuri na kwa rangi tofauti na maziwa mengine, mara nyingi huwa linaonekana kwa rangi nyeupe kwenda kijivu na mchana linang’aa sana huku likiwa batches za rangi nyekundu. Rangi hii nyekundu inatokana na miguu mekundu ya ndege maarufu waitwao Flamingo ni wengi sana na wa kupendeza, wana rangi nyeupe na miguu ya rangi nyekundu (tazama pics). hivyo hawa ndege ni wengi kiasi kwamba wanalipa ziwa hili zangi (just imagine).Na ukitembea kwa miguu kwenye fukwe zake kuna mabillions ya mayai ya hawa ngede so inatuambia nini hapa, hii ni kwamba kama hakutatokea disturbance yoyote then hawa ndege wapo na watakuwapo. Ila nasikitika sababu najua kuna mchakato unaendelea wa kuvuna hii chumvi/ magadi yaliyo kwenye hili ziwa bcoz hiyo ni mojawapo ya disturbance niliyoiongelea. Hizi rangi nyingine kama nilivyokwambia hapo juu zinatokana na chemistry ya maji yenyewe na ndio pia chimbuko la jina la ziwa hili. Kumbuka tuna majina mengi ya vitu ambavyo wakoloni walituachia na kwa kutumia kiswahili chetu tukabadilisha kidogo au tulishidwa kuyatamka kama wao walivyotamka. Mfano kiborloni kule moshi imetokana na wazungu kuita lile eneo “kibo alone” na ndivyo hivihivi hili ziwa jina lake lilipatikana. Chemistry ya haya maji yana high concentration ya chemical compound inayoitwa TRONA so may be wazungu waliamua kuita The Trona lake na sisi tukashindwa kutamka tukaita The NATRON lake. Anyway na kwasababu sisi ndio tuliokuwa wengi ikazoeleka na wengi wape na jina likawa, yaani lake natron.
Bado ninayo mengi ya kusema na sijamaliza bado!
Nimestop hapa nawahi class wajerumani wanasema “taglich unterricht”
Tutaendelea baadae!

Comments»

1. jumbe godwin b - December 13, 2010

E bwana ee!this is xtremly marvelous GEO,apart from geology i do thank kwani nimeanza kupata shule ya kijerumani!
i will be happy to receive some info za kijio toka german!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: