jump to navigation

Hello wakuu mpoo! January 15, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
trackback

Hello mageo wenzangu, nimechukua jumkumu la kuanzisha blog hii ili itukutanishe kama zamani na kama familia ilivyokuwa. Nashukuru nimeweza na nimejitolea kuimananage vyema, please hapa tunaweza kukusanyika na kujuana tulipo. Nazani mnajua sifa moja tuliyonayo sisi mageo wa Tz ni ushirikiano na hii imedhihirika mikoani kote regardless hata kama hatukusoma darasa moja huwa kuna ushirikiano mkubwa. Angalia About hapo juu nimeelekeza jinsi ya kutumia. Thanks.

E. Mshiu

Comments»

1. bjgodwin - November 28, 2010

i real appreciate mkuu,nilikuwa na hamu sana na hii kitu lakini thanks GOD umefanya hiki kitu!
naamini pamoja tutasonga kwani naamini hakuna jeshi la mtu mmoja!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: