jump to navigation

Tatizo la umeme TZ na vyanzo vyake December 5, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
trackback


Sasa hivi nchi yetu iko ktk wimbi kubwa la matatizo, na hili la umeme limekuwa SUGU. Wenzetu wakenya wanatumia geothermal energy kuzalisha umeme na ni kwa kiasi kikubwa. Kuna watanzania wenzetu wameshatembelea mitambo hii ya kenya labda ni “utalii”? sina uhakika! Sisi tuna hotsprings nyingi sana mfano hii ya songwe wanasema unaweza chemsha yai kwa dakika tano ukala, hii inamaanisha maji yana joto la zaidi ya centgrade 80 C, swali linakuja Je? sisi watanzania tuefikiria hili? kwamba tunaweza pata umeme hapa. Si kwamba umeme wa songwe lazima uende TZ nzima NO, ungweza kulisha Mbeya au kama utakuwa umeme mkubwa uende na mikoa ya jirani na huo wa Mtera ukagawanywa mikoa mingine kusingekuwa na mgao leo.Tuna hotspring nyingi sana, raia huwa wanaziita maji moto. Kuna kule musoma, kuna Oldoinyo lengai (hapa ziko kibao), na kwingineko. Vp tuna mpango gani ua ndo tunavyotakiwa tuishi? Joto kali hata feni huwezi kuwasha kisa maji yamepungua Mtera!
TAFAKARI!

Advertisements

Comments»

1. Any - December 7, 2010

the poroblem ni kwamba serikali imeweka siasa zaidi ua utendaji. Pia kuna ubinafsi mwingi i.e. mtu anaanza kujiuliza nikifanya hili nitafaidikaje? Haulizi nchi yangu itafaidikaje? So wengi wanakuwa wezi na witu haviendi.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: