jump to navigation

Oldoinyo le Ngai/Mlima wa Mungu/Mountain of God December 7, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
trackback

Oldoinyo le Ngai, hiki ni kimasai na kama kwenye title inavyojieleza maana yake ni mlima wa Mungu. Wamasai waliamua kuupa jina hilo kutokana na maajabu waliyoyaona “wao” pale mlimani. Kwamba mlima mlima unatoa moto!!! (tazama picha kulia) this is stange to them na sio wao tu hata raia wengine kiujumla except Geologists. Mlima huu una urefu wa mita 2900 na ni mlima pekee duniani (ulimwenguni) ambao uko active na unaotoa natrocarbonatites. Upekee wake ndio unaostimulate Geotourism hapa Tanzania, sina uhakika ni watalii wangapi kwa mwaka wanatembelea pale ila wakazi wa pale kijiji cha Engaresero (kijiji kilicho karibu na mlima) wanasema ikifika season ya watalii huwa panafurika. So, mlima huu pia unatoa ajira nyingi lakini sio rasmi kwa wanakijiji na wadau wa utalii Tanzania.

Huu mlima mbali na Ujiolojia wetu hata watu wa kawaida unawavutia sana (tazama pics kulia). Picha hizi zinaonyesha jinsi mlima unavyoonekana kwa juu very beautful.
Pia kuna special structures ambazo mara nyingi hutokana na activities za mlima wenyewe mfano kama jinsi unavyodeposit magma etc na ukichanganya its unique geochemistry then unapata hizo special structures (see pics).
Description:Bizarre structures of natro-carbonite stalactites, sulfur and algae deposits form beneath the partly collapsed roof of an old cone.


Special feature nyingine ni pohoehoe nazani Geos mnakumbuka lecture za walimu wetu, walituambia jina hili asili yake inatokana na sauti anayoitoa mtu mara akanyagapo jivu hili la volcano “hoehoehoe au hohohohoioioi! then wakaiita pahohoe!
Description:Fresh pahoehoe surface starting to weather and turn white.

Nina mengi ya kukwambia kuhusu mlima huu ambao hata wewe sio mgeni kwako kutokana na either umesoma habari zake darasani au umeusikia toka kwenye vyombo vya habari.
Nikipata muda nitapost vyote hivi.
PIA KAMA UNA CHOCHOTE UNATAKA KUPOST KINACHOHUSU GEOLOGY AU RELATED ISSUE AU WEWE MWENYEWE plz TUWASILIANE NA ADRESS YANGU HAPO CHINI.
E-mail:mshiutz@gmail.com

Advertisements

Comments»

No comments yet — be the first.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: