jump to navigation

PHOSPHATE YA MBALIZI December 5, 2010

Posted by tanzaniageologists in Uncategorized.
trackback


Kuzunguka haya maeneo watu wengi wamejiajiri, wanatengeneza chokaa (lime), hii ni kwa sababu raw material (limestones)zinapatikana kwa wingi eneo hili, kumbuka eneo hili pia ndipo kilipo kiwanda cha mbeya cement. Tulitembelea hata songwe scarp, mlima huu nao una band moja kubwa sana ya carbonatite na imeextent some kilometers ( zaidi ya ishirini).Ni resource tosha kwa maendeleo ya eneo hili.
Wajasiriamali hawa walisema mfuko mmoja wa chokaa wanauza kama 3000/= (25 kg). Chokaa inatumika as building material lakini vile vile wataalamu wa kilimo wanasema ni nzuri katika kupunguza acid kwenye udongo hivyo inaweza kutumika kama mbolea husika mbadala kama itafanyiwa uchunguzi. Wakulima around this area wanatumia minjingu phosphate, the problem ni kwamba hawajui phosphete nyingi wanayo hapo kwao, mtu anaweza chimba nyuma ya nyumba na kuipata. Nazani, wanakosa elimu sahihi na wanaingia garama kubwa kuifuata phosphate ya minjingu Arusha.

Advertisements

Comments»

No comments yet — be the first.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: